Mfumo wa kisasa unaokusaidia kusimamia nyumba zako na wapangaji popote ulipo.
Nyumba
Faida
wapangaji
Ongeza nyumba, sajili vyumba kwa kila nyumba, pangisha chumba kwa wapangaji.
Pata ripoti za wapangaji wote, mda wa kulipa kodi.
Mfumo unatuma, jumbe fupi kwa mpangaji na mpangishaji kujulishwa mda wa kulipa kodi